Peponi Hakuna Msikiti Wala Kufanya Matendo

Swali: Mwenye kuswali Rakaa 12 usiku na mchana basi Allaah Atamjengea Msikiti Peponi... Jibu: Msikiti au nyumba? Anachomaanisha ni nyumba. Mwanafunzi: Ameandika Msikiti. al-Fawzaan: Peponi hakuna Misikiti wala hakuna kufanya kazi. Allaah Atamjengea nyumba na sio Msikiti. Swali: Lau Rakaa mbili za baada ya Maghrib na ´Ishaa badala yake ataziswali katika Swalah ya usiku kitendo hichi kinajuzu? Jibu: Hapana. Hizi ni Raatibah. Raatibah sio Qiyaam-ul-Layl. Hizi zinafuatana na Swalah za faradhi. Rakaa hizi sio katika Qiyaam-ul-Layl.

Swali: Mwenye kuswali Rakaa 12 usiku na mchana basi Allaah Atamjengea Msikiti Peponi…
Jibu: Msikiti au nyumba? Anachomaanisha ni nyumba.

Mwanafunzi: Ameandika Msikiti.

al-Fawzaan: Peponi hakuna Misikiti wala hakuna kufanya kazi. Allaah Atamjengea nyumba na sio Msikiti.

Swali: Lau Rakaa mbili za baada ya Maghrib na ´Ishaa badala yake ataziswali katika Swalah ya usiku kitendo hichi kinajuzu?

Jibu: Hapana. Hizi ni Raatibah. Raatibah sio Qiyaam-ul-Layl. Hizi zinafuatana na Swalah za faradhi. Rakaa hizi sio katika Qiyaam-ul-Layl.