Nikubali Kuolewa Na Mwanaume Ambaye Nimeona Usingizini Ananyoa Ndevu Zake?

Muulizaji: Kuna mwanaume amechumbia mwanamke. Mwanamke huyo akaona usingizini ananyoa ndevu. (Mwanamke huyo) akubaliane nae au hapana? Jibu: Vipi hali yake alipoamka? Muulizaji: Alipoamka hali yake aliona kuwa ni nzuri, bi maana hakunyoa ndevu zake. Na ni mtu mzuri wa msimamo. Jibu: Mwanamke huyu aliyeona mwanaume ambaye amemchumbia usingizini kanyoa ndevu na yeye (mwanaume) katika hali yake ya sasa hakunyoa, hayadhuru aliyoyaona usingizini na wala asikatae kuolewa nae maadamu ni mtu wa msimamo katika Dini na tabia yake.

Muulizaji: Kuna mwanaume amechumbia mwanamke. Mwanamke huyo akaona usingizini ananyoa ndevu. (Mwanamke huyo) akubaliane nae au hapana?

Jibu: Vipi hali yake alipoamka?

Muulizaji: Alipoamka hali yake aliona kuwa ni nzuri, bi maana hakunyoa ndevu zake. Na ni mtu mzuri wa msimamo.

Jibu: Mwanamke huyu aliyeona mwanaume ambaye amemchumbia usingizini kanyoa ndevu na yeye (mwanaume) katika hali yake ya sasa hakunyoa, hayadhuru aliyoyaona usingizini na wala asikatae kuolewa nae maadamu ni mtu wa msimamo katika Dini na tabia yake.


  • Author: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn. Liqaa’ al-Baab al-Maftuuh (05 A)
  • Kitengo: Uncategorized , Ndoa
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Saturday 21st, December 2013