Ni Wanachuoni Gani Wanaokubaliana Na Fikira Potevu Za al-Qaaidah?

Je, umesikia yeyote katika wanachuoni anayejulikana kwa wenye akili kukubaliana na fikira potevu za Ibn Laadin, adh-Dhawaahiriy, Muhammad al-Mas´ariy, Sa´d al-Faqiyh na watu mfano wake ambao matokeo yamesababisha ufisadi mkubwa na uharibifu ambao Waislamu wote wanaujua? Ninathubutu na kusema hapana na ninakariri hilo mara elfu. Mtume aliyeteuliwa (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema: “Nyinyi ni mashahidi wa Allaah katika ardhi.” al-Bukhaariy (1301).

Je, umesikia yeyote katika wanachuoni anayejulikana kwa wenye akili kukubaliana na fikira potevu za Ibn Laadin, adh-Dhawaahiriy, Muhammad al-Mas´ariy, Sa´d al-Faqiyh na watu mfano wake ambao matokeo yamesababisha ufisadi mkubwa na uharibifu ambao Waislamu wote wanaujua?

Ninathubutu na kusema hapana na ninakariri hilo mara elfu. Mtume aliyeteuliwa (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Nyinyi ni mashahidi wa Allaah katika ardhi.” al-Bukhaariy (1301).


  • Author: ´Allaamah Zayd bin Haadiy al-Madkhaliy. Waqafaat wa Ma´aalim, uk. 19
  • Kitengo: Uncategorized , Khawaarij
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Wednesday 26th, February 2014