Ni Wajibu Kusambaza Radd Za Wanachuoni

Ikiwa Radd hizi ni za kielimu na zimetoka kwa wanachuoni waaminifu na zina faida kwa Waislamu na zina nasaha na muongozo, basi ni wajibu kuzisambaza ili watu wanufaike kwazo, na kwa ajili ya kuwanasihi Waislamu na kuondosha utata, kwa vijana na kwa wale wasiojua utata huu. Radd hizi kutoka kwa wanachuoni na Baswiyrah, kuna faida kwa watu wote. Kuna kuondosha utata. Ni nasaha kwa Waislamu. Yule mwenye kuzisambaza ana ujira kwa Allaah (Subhaanahu wa Ta´ala).