Ni Wajibu Kusaidiana Na Makundi Mengine

Imaam al-Albaaniy: Baada ya makundi ya Kiislamu kujitokeza, jambo ambalo ni lenye kusitikiza, wanatakiwa wote kusaidiana lakini kwa sharti kusaidiana kwao iwe juu ya misingi sahihi ya Qur-aan, Sunnah na Manhaj ya Salaf-us-Swaalih. Yule atakayekataa kusaidiana na makundi mengine kwa kuwa hawataki kusaidiana kwa Manhaj hii sahihi, Qur-aan, Sunnah na kwa Manhaj ya Salaf-us-Swaalih, hivyo itakuwa haitakikani kusaidiana nao kwa kuwa wanakwenda kinyume naaliokuwemo Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) na Maswahabah wake baada yake. Kusaidiana ni jambo la wajibu na kugawanyika ni jambo la haramu.

Imaam al-Albaaniy:

Baada ya makundi ya Kiislamu kujitokeza, jambo ambalo ni lenye kusitikiza, wanatakiwa wote kusaidiana lakini kwa sharti kusaidiana kwao iwe juu ya misingi sahihi ya Qur-aan, Sunnah na Manhaj ya Salaf-us-Swaalih. Yule atakayekataa kusaidiana na makundi mengine kwa kuwa hawataki kusaidiana kwa Manhaj hii sahihi, Qur-aan, Sunnah na kwa Manhaj ya Salaf-us-Swaalih, hivyo itakuwa haitakikani kusaidiana nao kwa kuwa wanakwenda kinyume naaliokuwemo Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) na Maswahabah wake baada yake. Kusaidiana ni jambo la wajibu na kugawanyika ni jambo la haramu.


  • Author: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy. Fataawaa Juddah (20 B)
  • Kitengo: Uncategorized , Msimamo juu ya wapinzani na mafundisho yao
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Saturday 19th, October 2013