Ni Lazima Kwa ´Awwaam Watahadharishwe Na Raafidhwah

Ni lazima kubainisha hali yao (Raafidhwah) kwa watu na kuonesha madhehebu machafu walio nayo kwenye vitabu vyao. Hapo ndipo watu watakuja kujua uchafu ulioje wa madhehebu haya na kutowaitikia walinganizi wao. Hivi leo wao wanawanunua watu kwa pesa. Wanawajia kwa misaada na mfano wa hayo na wakati huo huo nyoyo ni dhaifu. Ni lazima kuwa siriaz na bara bara dhidi ya mkondo huu unaotambaa katika miji ya Waislamu. Hili linahusiana khaswa na hapa (Marocco). Hawakuwepo kabisa katika nchi hii ya Maalikiyyah. Wameingia vipi? Nimepata khabari ya hilo jana. Muombeni Allaah msaada na kuwafichukua kwa msaada wa vitabu vyao na kuwabainishia ´Awwaam na maneno wanayosema maimamu wa Ahl-us-Sunnah juu yao.

Ni lazima kubainisha hali yao (Raafidhwah) kwa watu na kuonesha madhehebu machafu walio nayo kwenye vitabu vyao. Hapo ndipo watu watakuja kujua uchafu ulioje wa madhehebu haya na kutowaitikia walinganizi wao. Hivi leo wao wanawanunua watu kwa pesa. Wanawajia kwa misaada na mfano wa hayo na wakati huo huo nyoyo ni dhaifu. Ni lazima kuwa siriaz na bara bara dhidi ya mkondo huu unaotambaa katika miji ya Waislamu. Hili linahusiana khaswa na hapa (Marocco). Hawakuwepo kabisa katika nchi hii ya Maalikiyyah. Wameingia vipi? Nimepata khabari ya hilo jana.

Muombeni Allaah msaada na kuwafichukua kwa msaada wa vitabu vyao na kuwabainishia ´Awwaam na maneno wanayosema maimamu wa Ahl-us-Sunnah juu yao.