Ni Lazima Kuwaomba Wazazi Ushauri Kuhusu Kufanya Ndoa?

Muulizaji: Je ni lazima kuwaomba wazazi ushauri kuhusu kufanya ndoa? Jibu: Mtu huyo hajaoa? Bado hajaanza kueshi? Muulizaji: Hapana, bado. Jibu: Hapana, hahitajii kuomba ushauri kwa kuwa ni jambo la wajibu na si kwamba inapendekezwa tu.

Muulizaji: Je ni lazima kuwaomba wazazi ushauri kuhusu kufanya ndoa?

Jibu: Mtu huyo hajaoa? Bado hajaanza kueshi?

Muulizaji: Hapana, bado.

Jibu: Hapana, hahitajii kuomba ushauri kwa kuwa ni jambo la wajibu na si kwamba inapendekezwa tu.


  • Author: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy. Silsilat-ul-Hudaa wan-Nuur (160)
  • Kitengo: Uncategorized , Ndoa
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Monday 16th, December 2013