Ni Kweli ar-Raajhiy Amemfanyia Tabdiy´ Shaykh Rabiy´ al-Madkhaliy?

Swali: Tumesikia Shaykh al-Luhaydaan akimtetea Shaykh Rabiy´ al-Madkhaliy na kusema kuwa ni katika wanachuoni wa Ahl-us-Sunnah. Baada ya hapo baadhi wakaanza kueneza tuhumu za kwamba wewe unamfanyia Tabdiy´ Shaykh Rabiy´ na kumtoa katika mzunguko wa Sunnah...[1] ar-Raajhiy: Ni nani alosema haya? Ni nani alosema haya? Ni nani alosema haya? Muulizaji: Yapo kwenye Intaneti. ar-Raajhiy: Ni nani aliyenukuu haya kutoka kwangu? Muulizaji: Yapo kwenye Intaneti. Kuna Haddaadiyyah wanaoyaeneza. ar-Raajhiy: Kila kinachoenezwa ni kweli? Muulizaji: Nini? ar-Raajhiy: Kila kinachoenezwa ni kweli? Muulizaji: Hapana. ar-Raajhiy: Kila kinachoenezwa ni kweli? Muulizaji: Hapana. ar-Raajhiy: Walimsemea uongo Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Muulizaji: Shaykh Rabiy´ ni katika wanachuoni wa Ahl-us-Sunnah? ar-Raajhiy: Wakati walipokuja kwa Shaykh Ibn Baaz (Rahimahu Allaah) na kumtuhumu ya kuwa amesema haya na yale juu yao, akasema: “Wamenisemea uongo.” Walimsemea uongo Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam)... Ni uongo. Muulizaji: Ninukuu kutoka kwako ya kwamba Shaykh Rabiy´ ni katika wanachuoni wa Ahl-us-Sunnah? ar-Raajhiy: Nukuu kutoka kwangu, nukuu kutoka kwangu... [sauti haiko wazi] --------------- Tazama http://www.wanachuoni.com/content/wanafunzi-wanaomsema-vibaya-al-fawzaan-al-%C2%B4abbaad-na-al-madkhaliy Mzungumzaji: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin´Abdillaah ar-Raajhiy Chanzo: http://www.sahab.net/forums/index.php?showtopic=146670 Toleo la: 13-10-2014 Imefasiriwa na: Wanachuoni.com

Swali: Tumesikia Shaykh al-Luhaydaan akimtetea Shaykh Rabiy´ al-Madkhaliy na kusema kuwa ni katika wanachuoni wa Ahl-us-Sunnah. Baada ya hapo baadhi wakaanza kueneza tuhumu za kwamba wewe unamfanyia Tabdiy´ Shaykh Rabiy´ na kumtoa katika mzunguko wa Sunnah…[1]

ar-Raajhiy: Ni nani alosema haya? Ni nani alosema haya? Ni nani alosema haya?

Muulizaji: Yapo kwenye Intaneti.

ar-Raajhiy: Ni nani aliyenukuu haya kutoka kwangu?

Muulizaji: Yapo kwenye Intaneti. Kuna Haddaadiyyah wanaoyaeneza.

ar-Raajhiy: Kila kinachoenezwa ni kweli?

Muulizaji: Nini?

ar-Raajhiy: Kila kinachoenezwa ni kweli?

Muulizaji: Hapana.

ar-Raajhiy: Kila kinachoenezwa ni kweli?

Muulizaji: Hapana.

ar-Raajhiy: Walimsemea uongo Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).

Muulizaji: Shaykh Rabiy´ ni katika wanachuoni wa Ahl-us-Sunnah?

ar-Raajhiy: Wakati walipokuja kwa Shaykh Ibn Baaz (Rahimahu Allaah) na kumtuhumu ya kuwa amesema haya na yale juu yao, akasema:

“Wamenisemea uongo.”

Walimsemea uongo Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam)… Ni uongo.

Muulizaji: Ninukuu kutoka kwako ya kwamba Shaykh Rabiy´ ni katika wanachuoni wa Ahl-us-Sunnah?

ar-Raajhiy: Nukuu kutoka kwangu, nukuu kutoka kwangu… [sauti haiko wazi]

—————
Tazama http://www.wanachuoni.com/content/wanafunzi-wanaomsema-vibaya-al-fawzaan-al-%C2%B4abbaad-na-al-madkhaliy

Mzungumzaji: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin´Abdillaah ar-Raajhiy
Chanzo: http://www.sahab.net/forums/index.php?showtopic=146670
Toleo la: 13-10-2014
Imefasiriwa na: Wanachuoni.com


  • Kitengo: Uncategorized , Msimamo juu ya wapinzani na mafundisho yao
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Monday 13th, October 2014