Ni bora Kwa Mtu Mzima Kutooa Msichana Mwenye Umri Mdogo

Kwa ajili ya ushauri ni mzee kutooa msichana mwenye umri mdogo. Ikiwa atamuoa, hakutofikiwa malengo. Msichana huyo hatohisi starehe pamoja naye wala yeye (mwanaume) hatohisi starehe pamoja naye wakati wao hawafaani wao kwa wao. Hata hivyo si kwamba ni haramu, kama ambavyo baadhi ya watu waliodanganywa wanavyosema. Si jambo la haramu kwa mwanamke mjane kuolewa na mwanaume mzima ikiwa kama anaweza kutimiza haki zake. Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa sallam) alimuoa `Aaishah (Radhiya Allaahu ´anha) wakati yeye alikuwa na umri wa miaka sita na akakamilisha ndoa wakati yeye (´Aaishah) alikuwa na umri wa miaka tisa. Ni jambo linaloruhusiwa kwa wazee kuoa mwanamke mjane ikiwa malengo ya ndoa yatatimizwa. Hata hivyo, ni bora kuacha kufanya hivyo ikiwa mtu anakhofia kutotimiza malengo na kwa mfano mtu hawezi kuzima matamanio yake (huyo msichana) hivyo asije akamgeuzia mgongo.

Kwa ajili ya ushauri ni mzee kutooa msichana mwenye umri mdogo. Ikiwa atamuoa, hakutofikiwa malengo. Msichana huyo hatohisi starehe pamoja naye wala yeye (mwanaume) hatohisi starehe pamoja naye wakati wao hawafaani wao kwa wao. Hata hivyo si kwamba ni haramu, kama ambavyo baadhi ya watu waliodanganywa wanavyosema. Si jambo la haramu kwa mwanamke mjane kuolewa na mwanaume mzima ikiwa kama anaweza kutimiza haki zake. Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) alimuoa `Aaishah (Radhiya Allaahu ´anha) wakati yeye alikuwa na umri wa miaka sita na akakamilisha ndoa wakati yeye (´Aaishah) alikuwa na umri wa miaka tisa.

Ni jambo linaloruhusiwa kwa wazee kuoa mwanamke mjane ikiwa malengo ya ndoa yatatimizwa. Hata hivyo, ni bora kuacha kufanya hivyo ikiwa mtu anakhofia kutotimiza malengo na kwa mfano mtu hawezi kuzima matamanio yake (huyo msichana) hivyo asije akamgeuzia mgongo.


  • Author: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan. Ittihaaf-ut-Tullaab, uk. 861-862
  • Kitengo: Uncategorized ,
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Wednesday 25th, December 2013