Nguo Ya Mwanamke Iliopatwa Na Damu Ya Hedhi

Na hili ndo la wajibu kwa mwanamke anapopatwa na chochote katika damu, ataosha palipopatawa na kuswali na nguo yake. Si lazima kuiosha yote ila pale palipopatwa. Ikiwa yuko na shaka anaweza kuiosha yote [akipenda], ila muhimu aoshe mahala pale palipopatwa na damu. Na si lazima kuiosha nguo yote.

  • Author: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz. Mkanda "Sharh Swahiyh al-Bukhaariy"
  • Kitengo: Uncategorized , ´Ibaadah
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Monday 13th, January 2014