Ndevu Za Mitume

al-Bayhaqiy kapokea kwenye "Dalaail-un-Nubuwwah" kutoka kwa Hishaam bin al-'Aas al-Umawiy ambaye amesema: "Mimi na mtu mwingine tulitumwa kwa mfalme wa Roma Heraclius kumlingania katika Uislamu..." Baada ya hapo akahadithia tukio lirefu ambapo Heraclius alionesha picha za Mitume. Mitume walionekana kwa njia ifuatayo: Nuuh ('alayhis-Salaam) alikuwa na ndevu nzuri. Ibraahiym ('alayhis-Salaam) alikuwa na ndevu nyeupe. Ishaaq ('alayhis-Salaam) alikuwa na nyembamba katika pande zote. Ya´quub ('alayhis-Salaam) zilikuwa zinafanana na ndevu za baba yake Ishaaq. 'Iysa ('alayhis-Salaam) alikuwa na ndevu nyeusi sana. Ibn Kathiyr kasema: "Mnyororo wake ni mzuri." Abu Nu'aym al-Asbahaaniy kapokea katika kitabu chake "Dalaail-un-Nubuwwah" kupitia njia nyingine ya kwamba Muusa ('alayhis-Salaam) alikuwa na ndevu zenye kujaa na Haaruun ('alayhis-Salaam) alikuwa anafanana na Muusa.

al-Bayhaqiy kapokea kwenye “Dalaail-un-Nubuwwah” kutoka kwa Hishaam bin al-‘Aas al-Umawiy ambaye amesema:

“Mimi na mtu mwingine tulitumwa kwa mfalme wa Roma Heraclius kumlingania katika Uislamu…”

Baada ya hapo akahadithia tukio lirefu ambapo Heraclius alionesha picha za Mitume. Mitume walionekana kwa njia ifuatayo:

Nuuh (‘alayhis-Salaam) alikuwa na ndevu nzuri.

Ibraahiym (‘alayhis-Salaam) alikuwa na ndevu nyeupe.

Ishaaq (‘alayhis-Salaam) alikuwa na nyembamba katika pande zote.

Ya´quub (‘alayhis-Salaam) zilikuwa zinafanana na ndevu za baba yake Ishaaq.

‘Iysa (‘alayhis-Salaam) alikuwa na ndevu nyeusi sana.

Ibn Kathiyr kasema:

“Mnyororo wake ni mzuri.”

Abu Nu’aym al-Asbahaaniy kapokea katika kitabu chake “Dalaail-un-Nubuwwah” kupitia njia nyingine ya kwamba Muusa (‘alayhis-Salaam) alikuwa na ndevu zenye kujaa na Haaruun (‘alayhis-Salaam) alikuwa anafanana na Muusa.


  • Author: ´Allaamah Hamuud bin ´Abdillaah at-Tuwayjiriy. ar-Radd ´alaa man ajaaza Tahdhib-al-Lihyah, uk. 7
  • Kitengo: Uncategorized , Fiqh
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Thursday 19th, December 2013