Natija Ya Da´wah Ya al-Ikhwaan al-Muslimuun Na Jamaa´at-ut-Tabliygh

Tazama kwa mfano Da´wah ya al-Ikhwaan al-Muslimuun ina zaidi ya miaka thamanini. Natija yake iko wapi? Ni wanachuoni wepi ambao wametakharuji katika al-Ikhwaan al-Muslimuun? Kama sio watu wa utata na wanafalsafa. Kila unaposoma kitabu miongoni mwa vitabu vyao unakuta kimejaa upotevu mtupu. Kwa kuwa hawana elimu sahihi na hawakusoma kwa wanachuoni elimu ambayo ni sahihi. Wakafikwa na yaliyowafika. Hali kadhalika Jamaa´at-ut-Tabliygh. Da´wah yao ina makumi ya miaka kuanzia wakati ilipoanza. Imejengwa juu ya misingi ambayo sio sahihi. Kadhalika Da´wah [za makundi] mengine ni namna hii. Mwandishi: Imaam Ahmad bin Hanbal ash-Shaybaaniy Chanzo: Usuul-us-Sunnah Mshereheshaji: ´Allaamah Zayd bin Haadiy al-Madkhaliy Marejeleo: http://www.njza.net/MultimediaDetails_ar.aspx?ID=1005&size=2h&ext=.rm

Tazama kwa mfano Da´wah ya al-Ikhwaan al-Muslimuun ina zaidi ya miaka thamanini. Natija yake iko wapi? Ni wanachuoni wepi ambao wametakharuji katika al-Ikhwaan al-Muslimuun? Kama sio watu wa utata na wanafalsafa. Kila unaposoma kitabu miongoni mwa vitabu vyao unakuta kimejaa upotevu mtupu. Kwa kuwa hawana elimu sahihi na hawakusoma kwa wanachuoni elimu ambayo ni sahihi. Wakafikwa na yaliyowafika.

Hali kadhalika Jamaa´at-ut-Tabliygh. Da´wah yao ina makumi ya miaka kuanzia wakati ilipoanza. Imejengwa juu ya misingi ambayo sio sahihi. Kadhalika Da´wah [za makundi] mengine ni namna hii.

Mwandishi: Imaam Ahmad bin Hanbal ash-Shaybaaniy
Chanzo: Usuul-us-Sunnah
Mshereheshaji: ´Allaamah Zayd bin Haadiy al-Madkhaliy
Marejeleo: http://www.njza.net/MultimediaDetails_ar.aspx?ID=1005&size=2h&ext=.rm


  • Kitengo: Uncategorized , Ikhwaan Muslimuun
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Monday 24th, March 2014