Nasaha Za al-´Allaamah Muqbil al-Waadi´iy Kuhusu Baadhi Ya Mashaykh

´Allaamah al-Waadi´iy: Na ukitatizika na kitu wasiliana na wanachuoni waheshimiwa. Kama Shaykh Ibn Baaz, Kama Shaykh al-Albaaniy, Kama Shaykh Swaalih bin Fawzaan, Kama Shaykh Rabiy´. Na mfano wa hawa ndugu zetu waheshimiwa wasiliana nao na ustafidi kwao. Baaraka Allaahu fiykum. Hii ndo nasaha yangu kwa ndugu zangu Waislamu. Na ninamuomba Allaah Atuhifadhie dini yetu na Atufishe sote Waislamu.

´Allaamah al-Waadi´iy:

Na ukitatizika na kitu wasiliana na wanachuoni waheshimiwa. Kama Shaykh Ibn Baaz, Kama Shaykh al-Albaaniy, Kama Shaykh Swaalih bin Fawzaan, Kama Shaykh Rabiy´. Na mfano wa hawa ndugu zetu waheshimiwa wasiliana nao na ustafidi kwao. Baaraka Allaahu fiykum. Hii ndo nasaha yangu kwa ndugu zangu Waislamu. Na ninamuomba Allaah Atuhifadhie dini yetu na Atufishe sote Waislamu.