Namna Hii Ndivyo Zinakuwa Hali Za Wengi Wanaohudhuria Kwenye Maulidi

Miongoni mwa [maovu yanayotokea katika Maulidi] ni wanaume na wanawake kuchanganyika. Isitoshe wengi wanaohudhuria katika Maulidi hali zao zinakuwa mbaya. Wengi wao hawaswali. Hawahifadhi Swalah. Wanafanya mambo ya maovu. Wanapupia Bid´ah na wanaacha mambo ya wajibu. Lililo la wajibu kwa Muislamu ni kufuata na aache kuzusha. Lau ingelikuwa ni kheri wangelitutangulia nalo Maswahabah na Taabi´uun. Vilevile lau yangelikuwa ni kheri basi Allaah Angelituwekea nayo [katika Shari´ah]. Kwa haya tunapata kubainikiwa kuwa Maulidi ni katika Bid´ah. Mzungumzaji: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajhiy Chanzo: http://subulsalam.com/play.php?catsmktba=4738 Toleo la: 30-09-2014 Imefasiriwa na: Wanachuoni.com

Miongoni mwa [maovu yanayotokea katika Maulidi] ni wanaume na wanawake kuchanganyika.

Isitoshe wengi wanaohudhuria katika Maulidi hali zao zinakuwa mbaya. Wengi wao hawaswali. Hawahifadhi Swalah. Wanafanya mambo ya maovu. Wanapupia Bid´ah na wanaacha mambo ya wajibu. Lililo la wajibu kwa Muislamu ni kufuata na aache kuzusha. Lau ingelikuwa ni kheri wangelitutangulia nalo Maswahabah na Taabi´uun. Vilevile lau yangelikuwa ni kheri basi Allaah Angelituwekea nayo [katika Shari´ah]. Kwa haya tunapata kubainikiwa kuwa Maulidi ni katika Bid´ah.

Mzungumzaji: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajhiy
Chanzo: http://subulsalam.com/play.php?catsmktba=4738
Toleo la: 30-09-2014
Imefasiriwa na: Wanachuoni.com


  • Kitengo: Uncategorized , Manhaj
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Monday 29th, September 2014