Mzazi Anachelewesha Swalah Ya ´Ishaa Kwa Kuwaangalia Watoto

Muulizaji: Huyu Ukhty anauliza, katika ada yake huwa akichelewesha Swalah ya ´Ishaa kwa sababu ya kutazama (kuchunga) watoto? al-Fawzaan: Swalah ya ´Ishaa? Muulizaji: Ndio. al-Fawzaan: Anachelewesha mpaka lini? Muulizaji: Anachelewesha mpaka nusu ya usiku. al-Fawzaan: Hakuna ubaya, lakini asicheleweshe mpaka thuluthi ya usiku (1/3). Na akichelewesha mpaka baada ya thuluthi ya usiku hakuna neno.

Muulizaji: Huyu Ukhty anauliza, katika ada yake huwa akichelewesha Swalah ya ´Ishaa kwa sababu ya kutazama (kuchunga) watoto?

al-Fawzaan: Swalah ya ´Ishaa?

Muulizaji: Ndio.

al-Fawzaan: Anachelewesha mpaka lini?

Muulizaji: Anachelewesha mpaka nusu ya usiku.

al-Fawzaan: Hakuna ubaya, lakini asicheleweshe mpaka thuluthi ya usiku (1/3). Na akichelewesha mpaka baada ya thuluthi ya usiku hakuna neno.