Mwanamke Wa Khul´ Ana Eda?

Eda kwa mwanamke inakuwa ni wajibu kwa kule kutengana, sawa ikiwa wametengana kwa mwanamke kujivua katika ndoa (Khul´), au kwa Talaka au kwa kufa mume wake. Eda inakuwa kwa kutengana baina ya mume na mke, ima kwa Talaka, kujivua, kufa au yasiyokuwa hayo. Kuanzia pale ambapo kujivua kutatendeka. Qaadhiy akipitisha hukumu ya kujivua, hapo ndipo eda ya Talaka inaanza.