Mwanamke Ni Lazima Kwake Kutafuta Elimu

Kama jinsi wanaume wanawajibika kwa matendo yao. Kwa ajili hiyo ni wajibu kwake mwanamke kujifunza yale ambayo ni wajibu kwake ili aweze kutimiza wajibu wake kwa uhakika. Ikiwa yuko na baba, kaka, mume au mtu mwingine ambaye hawezi kumuoa akamfundisha wajibu wa Swalah na namna ya kuyatekeleza, inatosha. Vinginevyo, ni lazima kwake kuuliza na kusoma. Jambo la kwanza anatakiwa kuhakikisha kwamba anasoma kwa mwanamke ambaye anamfundisha. Ikiwa hakuna mwanamke yoyote, aende kwa wanaume wazee na aacha wamfunze. Hata hivyo, hawaruhusiwi kubaki kwenye chumba kimoja pamoja nao. Katika hali hii mwanamke anatakiwa kujifunza yale yaliyowajibu na si zaidi ya hapo. Akifikwa na jambo, anatakiwa kuuliza bila ya kuona haya. Allaah Haoni haya katika haki.

Kama jinsi wanaume wanawajibika kwa matendo yao. Kwa ajili hiyo ni wajibu kwake mwanamke kujifunza yale ambayo ni wajibu kwake ili aweze kutimiza wajibu wake kwa uhakika.

Ikiwa yuko na baba, kaka, mume au mtu mwingine ambaye hawezi kumuoa akamfundisha wajibu wa Swalah na namna ya kuyatekeleza, inatosha. Vinginevyo, ni lazima kwake kuuliza na kusoma. Jambo la kwanza anatakiwa kuhakikisha kwamba anasoma kwa mwanamke ambaye anamfundisha. Ikiwa hakuna mwanamke yoyote, aende kwa wanaume wazee na aacha wamfunze. Hata hivyo, hawaruhusiwi kubaki kwenye chumba kimoja pamoja nao. Katika hali hii mwanamke anatakiwa kujifunza yale yaliyowajibu na si zaidi ya hapo.

Akifikwa na jambo, anatakiwa kuuliza bila ya kuona haya. Allaah Haoni haya katika haki.


  • Author: Imaam ´Abdur-Rahmaan bin al-Jawziy al-Hanbaliy. Ahkaam-un-Nisaa’, uk. 12
  • Kitengo: Uncategorized , ´Ibaadah
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Wednesday 15th, January 2014