Mwanamke Kuswali Na Niqaab Na Burq´

Imechukizwa kwa mwanamke kuswali kwenye Niqaab au Burq´. Ibn ´Abdil-Barr amesema ya kwamba wanachuoni wamekubaliana kuwa mwanamke ni lazima kufunua uso wake wakati wa Swalah na Ihraam. Hali kadhalika inazuia paja la uso na ngozi ya pua kugusa chini na inafunika kinywa chake, jambo ambalo Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amekataza.

  • Author: Imaam Muwaffaq-ud-Diyn bin Qudaamah al-Maqdisiy. al-Mughni´ (2/331)
  • Kitengo: Uncategorized , ´Ibaadah
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Friday 3rd, January 2014