Mwanamke Kusimama Mwenyewe Katika Safu

Akiwa mwanamke na wanaumme, mwanamke anasimama nyuma yao hata kama atakuwa mmoja tu, atasimama safu yake mwenyewe. Kama alivyofanya Ummu Sulaym. Na ikiwa wako Jamaa´ah atafanya hali kadhalika.

  • Author: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz. Mkanda "Sharh Swahiyh al-Bukhaariy"
  • Kitengo: Uncategorized , ´Ibaadah
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Tuesday 14th, January 2014