Mwanamke Kushiriki Katika Barnamiji Za Qur-aan Kwenye Idhaa

Swali: Kuhusu sauti ya mwanamke kuna baadhi ya barnamiji za kusoma Qur-aan miongoni mwa washirika kwa njia ya simu inakuwa ni wanawake wanaosoma Qur-aan. Je, kuna kitu juu ya hilo? 1,5 al-Fawzaan: Ina maana ni katika idhaa? Jibu: Hii ndio dhahiri, Shaykh! al-Fawzaan: Haijuzu kufanya hivi. Haijuzu sauti yake ikasikika na wanaume na watu kupitia idhaa. Hili ni jambo lililozushwa. Hili hakuna hata katika idhaa zote za ulimwengu mzima. Hili ni jambo ambalo limezushwa hivi sasa na Idhaa´at-ul-Qur-aan kwetu katika barnamiji ya jumla. Limezushwa na watu wajinga. Ni wajibu wafikishiwe hili na kuambiwa kuwa hili halijuzu. Idhaa za nchi zote za kiarabu hakuna wanawake wanaosoma. Idhaa hii ni aula zaidi miongoni mwa idhaa kufanyia kazi Sunnah na kutozusha kitu kisichokuwa na watangu katika Shari´ah.

Swali: Kuhusu sauti ya mwanamke kuna baadhi ya barnamiji za kusoma Qur-aan miongoni mwa washirika kwa njia ya simu inakuwa ni wanawake wanaosoma Qur-aan. Je, kuna kitu juu ya hilo? 1,5

al-Fawzaan: Ina maana ni katika idhaa?

Jibu: Hii ndio dhahiri, Shaykh!

al-Fawzaan: Haijuzu kufanya hivi. Haijuzu sauti yake ikasikika na wanaume na watu kupitia idhaa. Hili ni jambo lililozushwa. Hili hakuna hata katika idhaa zote za ulimwengu mzima. Hili ni jambo ambalo limezushwa hivi sasa na Idhaa´at-ul-Qur-aan kwetu katika barnamiji ya jumla. Limezushwa na watu wajinga. Ni wajibu wafikishiwe hili na kuambiwa kuwa hili halijuzu.

Idhaa za nchi zote za kiarabu hakuna wanawake wanaosoma. Idhaa hii ni aula zaidi miongoni mwa idhaa kufanyia kazi Sunnah na kutozusha kitu kisichokuwa na watangu katika Shari´ah.