Mwanamke Kupiga Kicheko Na Utani Na Wanaume Ajinabi

Sababu nyingine ya dhuluma ni kwamba mwanamke anaongea kwa ulaini na mwanaume ajinabi na kucheka naye na kutania naye. Hili linamfanya yeye kupata matumaini kwake: فَلَا تَخْضَعْنَ بِالْقَوْلِ فَيَطْمَعَ الَّذِي فِي قَلْبِهِ مَرَضٌ "Basi msilainishe kauli (mnapozungumza) asije akaingiwa (na) tamaa yule (ambaye) moyoni mwake mna maradhi." (33:32) Mwanamke akiongea kwa ulaini na utashi na mwanaume na anacheka na kutania naye, anapata matumaini kwake: فَلَا تَخْضَعْنَ بِالْقَوْلِ فَيَطْمَعَ الَّذِي فِي قَلْبِهِ مَرَضٌ وَقُلْنَ قَوْلًا مَّعْرُوفًا "Basi msilainishe kauli (mnapozungumza) asije akaingiwa (na) tamaa yule (ambaye) moyoni mwake mna maradhi na semeni kauli inayokubalika." Ina maana maneno yake hayatakiwi kuwa ya kujisalimisha, laini, kwa uzuri na kicheko. Anatakiwa kuongea tu wakati wa haja na kwa njia ambayo haimpi mwanaume matumaini.

Sababu nyingine ya dhuluma ni kwamba mwanamke anaongea kwa ulaini na mwanaume ajinabi na kucheka naye na kutania naye. Hili linamfanya yeye kupata matumaini kwake:

فَلَا تَخْضَعْنَ بِالْقَوْلِ فَيَطْمَعَ الَّذِي فِي قَلْبِهِ مَرَضٌ
“Basi msilainishe kauli (mnapozungumza) asije akaingiwa (na) tamaa yule (ambaye) moyoni mwake mna maradhi.” (33:32)

Mwanamke akiongea kwa ulaini na utashi na mwanaume na anacheka na kutania naye, anapata matumaini kwake:

فَلَا تَخْضَعْنَ بِالْقَوْلِ فَيَطْمَعَ الَّذِي فِي قَلْبِهِ مَرَضٌ وَقُلْنَ قَوْلًا مَّعْرُوفًا
“Basi msilainishe kauli (mnapozungumza) asije akaingiwa (na) tamaa yule (ambaye) moyoni mwake mna maradhi na semeni kauli inayokubalika.”

Ina maana maneno yake hayatakiwi kuwa ya kujisalimisha, laini, kwa uzuri na kicheko. Anatakiwa kuongea tu wakati wa haja na kwa njia ambayo haimpi mwanaume matumaini.


  • Author: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan. Ittihaaf-ut-Tullaab, uk. 118-119
  • Kitengo: Uncategorized , Fiqh
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Thursday 16th, January 2014