Mwanamke Bora Ni Mwenye Mahaba Kwa Mumewe

Katika baadhi ya tabia za wanawake bora, ni yale Aliyotaja Allaah (Ta´ala): عُرُبًا أَتْرَابًا "Wenye mahaba kwa waume zao, hirimu moja." Mwanamke mwenye mahaba anafanya mume ampende kwa tabia, wema na sifa zake. Ibn-ul-A´raabiy amesema: "Mwanamke mwenye mahaba ni yule anayemtii mume wake na kufanya kila kitu ili mume wake ampende." Abu ´Ubaydah amesema: "Mwanamke mwenye mahaba ni yule mke mzuri." al-Mubarrid amesema: "Mwanamke mwenye mahaba ni yule ambaye anapendwa kwa mume wake." al-Bukhaariy amesema katika "as-Swahiyh" yake: "Mwanamke mwenye mahaba ni yule mwenye kuvutia katika ngono." Namna hii ndivyo zilivyoelezwa tabia za wanawake hawa na uonekaji wao kwa nje[1]. Ikiwa utafikiria juu ya tabia hizi ambazo Allaah Ameziwaelezea, utatambua ya kwamba wanahitajia kuwa na sifa hizi na zaidi. -------------------------- (1) Tazama http://www.wanachuoni.com/content/mwanamke-bora-kwa-mtazamo-wa-ibn-ul-qayyim

Katika baadhi ya tabia za wanawake bora, ni yale Aliyotaja Allaah (Ta´ala):

عُرُبًا أَتْرَابًا
“Wenye mahaba kwa waume zao, hirimu moja.”

Mwanamke mwenye mahaba anafanya mume ampende kwa tabia, wema na sifa zake. Ibn-ul-A´raabiy amesema:

“Mwanamke mwenye mahaba ni yule anayemtii mume wake na kufanya kila kitu ili mume wake ampende.”

Abu ´Ubaydah amesema:

“Mwanamke mwenye mahaba ni yule mke mzuri.”

al-Mubarrid amesema:

“Mwanamke mwenye mahaba ni yule ambaye anapendwa kwa mume wake.”

al-Bukhaariy amesema katika “as-Swahiyh” yake:

“Mwanamke mwenye mahaba ni yule mwenye kuvutia katika ngono.”

Namna hii ndivyo zilivyoelezwa tabia za wanawake hawa na uonekaji wao kwa nje[1]. Ikiwa utafikiria juu ya tabia hizi ambazo Allaah Ameziwaelezea, utatambua ya kwamba wanahitajia kuwa na sifa hizi na zaidi.

————————–
(1) Tazama http://www.wanachuoni.com/content/mwanamke-bora-kwa-mtazamo-wa-ibn-ul-qayyim


  • Author: Imaam Shams-ud-Diyn bin Qayyim-il-Jawziyyah (d. 751). at-Tibyaan fiy Aqsaam-il-Qur-aan, uk. 171
  • Kitengo: Uncategorized , Familia
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Tuesday 7th, January 2014