Mwanamke Bora Kwa Mtazamo Wa Ibn-ul-Qayyim

Ama kuhusiana na uso wa mwanamke, mwili na tabia ni jambo zuri na imependekezwa awe ni mweupe katika maeneo tatu: 1- Ngozi. 2- Macho meupe. 3- Miguu. 4- Meno. Anatakiwa kuwa mweusi katika maeneo nne: 1- Sehemu ya katikati ya jicho. 2- Nywele. 3- Kope za macho. 4- Nyusi. Anatakiwa kuwa mwekundu katika maeneo nne: 1- Ulimi. 2- Midomo. 3- Mashavu. 4- Wekundu wa kufifia (kiasi) juu ya hiyo ngozi nyeupe ambayo inaipamba. Anatakiwa kuwa mviringo katika maeneo nne: 1- Uso. 2- Kichwa. 3- Vifundo vya miguu. 4- Sehemu ya nyuma (makalio). Anatakiwa kuwa mrefu katika maeneo nne: 1- Ujenzi wa mwili. 2- Shingo. 3- Nywele. 4- Nyusi. Anatakiwa kuwa mpana (wasaa & kubwa) katika maeneo nne: 1- Paja la uso. 2- Macho. 3- Uso. 4- Kifua. Anatakiwa kuwa mdogo katika maeneo nne: 1- Matiti. 2- Kinywa. 3- Vitanga vya mikono. 4- Miguu. Anatakiwa kuwa mzuri katika maeneo nne: 1- Kinywa. 2- Pua. 3- Miguu. 4- Tupu. Anatakiwa kuwa ni mwenye kubana katika maeneo moja.

Ama kuhusiana na uso wa mwanamke, mwili na tabia ni jambo zuri na imependekezwa awe ni mweupe katika maeneo tatu:

1- Ngozi.
2- Macho meupe.
3- Miguu.
4- Meno.

Anatakiwa kuwa mweusi katika maeneo nne:

1- Sehemu ya katikati ya jicho.
2- Nywele.
3- Kope za macho.
4- Nyusi.

Anatakiwa kuwa mwekundu katika maeneo nne:

1- Ulimi.
2- Midomo.
3- Mashavu.
4- Wekundu wa kufifia (kiasi) juu ya hiyo ngozi nyeupe ambayo inaipamba.

Anatakiwa kuwa mviringo katika maeneo nne:

1- Uso.
2- Kichwa.
3- Vifundo vya miguu.
4- Sehemu ya nyuma (makalio).

Anatakiwa kuwa mrefu katika maeneo nne:

1- Ujenzi wa mwili.
2- Shingo.
3- Nywele.
4- Nyusi.

Anatakiwa kuwa mpana (wasaa & kubwa) katika maeneo nne:

1- Paja la uso.
2- Macho.
3- Uso.
4- Kifua.

Anatakiwa kuwa mdogo katika maeneo nne:

1- Matiti.
2- Kinywa.
3- Vitanga vya mikono.
4- Miguu.

Anatakiwa kuwa mzuri katika maeneo nne:

1- Kinywa.
2- Pua.
3- Miguu.
4- Tupu.

Anatakiwa kuwa ni mwenye kubana katika maeneo moja.


  • Author: Imaam Shams-ud-Diyn bin Qayyim-il-Jawziyyah (d. 751). at-Tibyaan fiy Aqsaam-il-Qur-aan, uk. 170-171
  • Kitengo: Uncategorized , Fiqh
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Tuesday 7th, January 2014