Mwanafunzi Na Ukapera

al-Khatwiyb al-Baghdaadiy amesema: "Inapendekezwa kwa mwanafunzi kuwa kapera maadamu anaweza ili asisumbuliwe na haki za mke na matumizi. Hili linasababisha kushindwa kusoma kwa njia nzuri iwezekanayo." Sufyaan ath-Thawriy amesema: "Yule mwenye kuoa ameingia ndani ya boti. Pale anapopata watoto boti huvunjika." Kwa jumla ni bora kuacha kuoa ikiwa mtu hahitajii kuoa au hana uwezo wa kuoa. Hili ni khaswa kwa mwanafunzi ambaye akiba (mali) yake ni kukusanya mawazo yake na moyo wake.

al-Khatwiyb al-Baghdaadiy amesema:

“Inapendekezwa kwa mwanafunzi kuwa kapera maadamu anaweza ili asisumbuliwe na haki za mke na matumizi. Hili linasababisha kushindwa kusoma kwa njia nzuri iwezekanayo.”

Sufyaan ath-Thawriy amesema:

“Yule mwenye kuoa ameingia ndani ya boti. Pale anapopata watoto boti huvunjika.”

Kwa jumla ni bora kuacha kuoa ikiwa mtu hahitajii kuoa au hana uwezo wa kuoa. Hili ni khaswa kwa mwanafunzi ambaye akiba (mali) yake ni kukusanya mawazo yake na moyo wake.


  • Author: Imaam Badr-ud-Diyn Muhammad bin Ibraahiym bin Jamaa´ah al-Hamawiy (d. 733). Tadhkirat-us-Saami´ wal-Mutakallim fiy Adab-il-´Aalim wal-Muta´allim, uk. 75
  • Kitengo: Uncategorized , Fiqh
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Wednesday 18th, December 2013