Mu´tazilah Na Khawaarij Juu Ya Adhabu Ya Kaburi

Mu´tazilah na Khawaarij wamepinga adhabu ya kaburi na neema zake. Kwa kuwa wao hawatendei kazi Hadiyth za Ahaad katika mambo ya I´tiqaad kutokana na madai yao. Wanatendea kazi Qur-aan tu na Hadiyth zilizopokelewa kwa mapokezi mengi. Haya ni madai batili. Ahl-us-Sunnah kila kilichothibiti kutoka kwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) katika Hadiyth zilizopokelewa kwa mapokezi mengi na Ahaad, wanakitendea kazi katika mlango wa I´tiqaad na mengineyo. Wanakitendea kazi. Muhimu kwao andilo liwe limethibiti kutoka kwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) hata kama itakuwa ni kwa njia ya kupitia mtu mmoja. Mwandishi: Imaam Ahmad bin Hanbal ash-Shaybaaniy Chanzo: Usuul-us-Sunnah Mshereheshaji: ´Allaamah Zayd bin Haadiy al-Madkhaliy Marejeleo: http://www.njza.net/MultimediaDetails_ar.aspx?ID=998&size=2h&ext=.rm

Mu´tazilah na Khawaarij wamepinga adhabu ya kaburi na neema zake. Kwa kuwa wao hawatendei kazi Hadiyth za Ahaad katika mambo ya I´tiqaad kutokana na madai yao. Wanatendea kazi Qur-aan tu na Hadiyth zilizopokelewa kwa mapokezi mengi. Haya ni madai batili.

Ahl-us-Sunnah kila kilichothibiti kutoka kwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) katika Hadiyth zilizopokelewa kwa mapokezi mengi na Ahaad, wanakitendea kazi katika mlango wa I´tiqaad na mengineyo. Wanakitendea kazi. Muhimu kwao andilo liwe limethibiti kutoka kwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) hata kama itakuwa ni kwa njia ya kupitia mtu mmoja.

Mwandishi: Imaam Ahmad bin Hanbal ash-Shaybaaniy
Chanzo: Usuul-us-Sunnah
Mshereheshaji: ´Allaamah Zayd bin Haadiy al-Madkhaliy
Marejeleo: http://www.njza.net/MultimediaDetails_ar.aspx?ID=998&size=2h&ext=.rm


  • Kitengo: Uncategorized , Barzakh (Maisha ya kaburini)
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Saturday 29th, March 2014