Mume Hatakiwi Kumkataza Mke Kujipodoa Kwa Ajili Ya Rafiki Zake Wa Kike

Ni sawa mwanamke kujipodoa na kujipamba ikiwa yuko na wanawake wa makamu yake maadamu hakukhofiwi fitina yoyote. Mume hatakiwi kumkataza hilo. Ni katika maumbile ya wanawake. Ni katika hata maumbile ya wanaume. Mwanaume hupenda pia kuvaa mavazi mazuri. Hali kadhalika na kwa mwanamke. Hata hivyo ikiwa kutakuwa khatari kwa njia ambayo kuna wanaume ambao wanamuona au baadhi ya wanawake wakamsifu kwa waume zao, kitendo hichi itakuwa ni haramu. Ikiwa hakuna khatari yoyote basi mume hana haki yoyote ya kumkataza kujipodoa kwa ajili ya marafiki zake wa kike maadamu inafanyika kwa njia ya desturi (mila).

Ni sawa mwanamke kujipodoa na kujipamba ikiwa yuko na wanawake wa makamu yake maadamu hakukhofiwi fitina yoyote. Mume hatakiwi kumkataza hilo. Ni katika maumbile ya wanawake. Ni katika hata maumbile ya wanaume. Mwanaume hupenda pia kuvaa mavazi mazuri. Hali kadhalika na kwa mwanamke.

Hata hivyo ikiwa kutakuwa khatari kwa njia ambayo kuna wanaume ambao wanamuona au baadhi ya wanawake wakamsifu kwa waume zao, kitendo hichi itakuwa ni haramu.

Ikiwa hakuna khatari yoyote basi mume hana haki yoyote ya kumkataza kujipodoa kwa ajili ya marafiki zake wa kike maadamu inafanyika kwa njia ya desturi (mila).


  • Author: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn. Nuur ´alaad-Darb (20 B)
  • Kitengo: Uncategorized , Fiqh
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Wednesday 8th, January 2014