Muhammad al-Madkhaliy – Amesifiwa Na Wanachuoni Wakubwa

Kuna swali kwa wale ambao hawakusikia, kuhusiana na mikanda; ya mlinganiaji na mwanafunzi - Shaykh Muhammad bin Haadiy al-Madkhaliy. Ana mikanda ambapo amejadiliana na baadhi ya fikra na watu. Mikanda hii imechezeshwa kwa baadhi ya wanachuoni na wakati mwingine Shaykh wetu Mtukufu ´Abdul-´Aziyz bin Baaz. Kila ambaye amesikiliza mkanda wa Shaykh Muhammad amezisifu. Sisi tuko al-Madiynah na hatujui kuwa amejirudi kwa yale yaliyomo kwenye mikanda. Madai haya sio sahihi. Vipi atajirudi katika haki ilihali amesema haki? Ni mwanafunzi ambaye amesimama bara bara juu ya haki. Anajulikana. Hatumtakasi kwa Allaah, lakini tunavyomjua ni kwamba ameshikamana bara bara na haki na anaongea wazi kabisa. Hatujui kuwa ameshafanya kosa kwa yale yaliyosajiliwa. Wanachuoni wakubwa wameshuhudia hilo na wamesema kuwa mikanda yake ni mizuri. Kwa ajili hiyo haitakikani kueneza utatizi huu juu ya mikanda yake na juu yake na kumtuhumu kwa vitu na mambo. Tuhuma juu yake ni uongo na ni haramu. Yule mwenye kumtuhumu anatakiwa kutubu kwa Allaah. Kutokana na yale tunayoyajua mtu huyu ni msafi na ni mlinganiaji ambaye ameshikamana bara bara na Dini yake. Haya ndio tuyajuayo na Allaah (Ta´ala) ndiye Mjuzi zaidi kwetu na kwake. Kwa ajili hiyo ni katika walinganiaji ambao inatakiwa kushirikiana naye. Haitakiwi kumuongelea si yeye wala mikanda yake kutokana na taliyoyasema.

Kuna swali kwa wale ambao hawakusikia, kuhusiana na mikanda; ya mlinganiaji na mwanafunzi – Shaykh Muhammad bin Haadiy al-Madkhaliy. Ana mikanda ambapo amejadiliana na baadhi ya fikra na watu. Mikanda hii imechezeshwa kwa baadhi ya wanachuoni na wakati mwingine Shaykh wetu Mtukufu ´Abdul-´Aziyz bin Baaz. Kila ambaye amesikiliza mkanda wa Shaykh Muhammad amezisifu. Sisi tuko al-Madiynah na hatujui kuwa amejirudi kwa yale yaliyomo kwenye mikanda. Madai haya sio sahihi. Vipi atajirudi katika haki ilihali amesema haki? Ni mwanafunzi ambaye amesimama bara bara juu ya haki. Anajulikana. Hatumtakasi kwa Allaah, lakini tunavyomjua ni kwamba ameshikamana bara bara na haki na anaongea wazi kabisa. Hatujui kuwa ameshafanya kosa kwa yale yaliyosajiliwa. Wanachuoni wakubwa wameshuhudia hilo na wamesema kuwa mikanda yake ni mizuri. Kwa ajili hiyo haitakikani kueneza utatizi huu juu ya mikanda yake na juu yake na kumtuhumu kwa vitu na mambo. Tuhuma juu yake ni uongo na ni haramu. Yule mwenye kumtuhumu anatakiwa kutubu kwa Allaah.

Kutokana na yale tunayoyajua mtu huyu ni msafi na ni mlinganiaji ambaye ameshikamana bara bara na Dini yake. Haya ndio tuyajuayo na Allaah (Ta´ala) ndiye Mjuzi zaidi kwetu na kwake. Kwa ajili hiyo ni katika walinganiaji ambao inatakiwa kushirikiana naye. Haitakiwi kumuongelea si yeye wala mikanda yake kutokana na taliyoyasema.