Mtu Huyu Usimuamini Katika Dini Yako

Ukimuona mtu anawatetea Ahl-ul-Ahwaa´ au anawachukulia sahali, basi usimwamini kwa Dini yako. Dini yako ndio kitu kikubwa chenye utukufu ulicho nacho. Watu hawa na mfano wao hawaaminiki juu ya Dini ya Allaah (Tabaaraka wa Ta´ala). Ni juu yako kutahadhari na watu hawa. Usishikamane isipokuwa na ambaye ni mwenye kukunasihi katika mlango huu.