Mtu Anyanyue Mikono Wakati Wa Adhaana?

Swali: Je mtu anyanyue mikono yake wakati wa adhaana? Imaam Ibn Baaz: Asinyanyue, hakujapokelewa chochote kuhusiana na hili. Muulizaji: Je, mtu anaweza kusema kuwa ni aula zaidi kuacha kufanya hivyo? Imaam Ibn Baaz: Ndio la dhahiri. Haikupokelewa kuwa alikuwa akinyanyua.

Swali:
Je mtu anyanyue mikono yake wakati wa adhaana?

Imaam Ibn Baaz:
Asinyanyue, hakujapokelewa chochote kuhusiana na hili.

Muulizaji:
Je, mtu anaweza kusema kuwa ni aula zaidi kuacha kufanya hivyo?

Imaam Ibn Baaz:
Ndio la dhahiri. Haikupokelewa kuwa alikuwa akinyanyua.