Mtu Akisahau Kuswali Alipe Pale Tu Anapokumbuka

Swali: Mtu akipitiwa (kwa kusahau) na Swalah ya Dhuhr au ´Aswr, anaweza kuilipa wakati wowote au ailipe mchana au usiku? Imaam Ibn Baaz: Pale atapokumbuka tu sawa mchana au usiku. Muulizaji: Na ikiwa ni mchana atailipa usiku? Imaam Ibn Baaz: Pale atapokumbuka sawa ikiwa ni mchana au usiku.

Swali:
Mtu akipitiwa (kwa kusahau) na Swalah ya Dhuhr au ´Aswr, anaweza kuilipa wakati wowote au ailipe mchana au usiku?

Imaam Ibn Baaz:
Pale atapokumbuka tu sawa mchana au usiku.

Muulizaji:
Na ikiwa ni mchana atailipa usiku?

Imaam Ibn Baaz:
Pale atapokumbuka sawa ikiwa ni mchana au usiku.