Mtu Akimtuhumu Mama Yako Kuwa Ni Malaya…

Maalik (Radhiya Allaahu ´anhu) anasema kuhusiana na Kauli ya Allaah (Jalla wa ´Alaa) kuhusu uongo [juu ya ´Aaishah]: يَعِظُكُمُ اللَّـهُ أَن تَعُودُوا لِمِثْلِهِ أَبَدًا إِن كُنتُم مُّؤْمِنِينَ “Allaah Anakuwaidhini msirudie kabisa (kufanya) mfano wa haya, mkiwa kweli ni Waumini.” (24:17) “Anayerudi basi ni kafiri.” Haya ni maneno ya Maalik (Radhiya Allaahu ´anhu) na maneno ya Salaf wote baada ya Maalik: يَعِظُكُمُ اللَّـهُ أَن تَعُودُوا لِمِثْلِهِ أَبَدًا إِن كُنتُم مُّؤْمِنِينَ “Allaah Anakuwaidhini msirudie kabisa (kufanya) mfano wa haya, mkiwa kweli ni Waumini.” (24:17) Kulisemwa uongo huu na ule. Kukateremshwa Suurat-un-Nuur. Watu hawa bado mpaka hivi leo wanamtuhumu ´Aaishah (Radhiya Allaahu ´anha) kwa Zinaa. Ninaapa kwa Allaah lau sisi leo mtu angelimwambia hivo mama yake mzazi, angelimchinja. Tusemeje juu ya kuambiwa hivo ambaye ni mama yetu sote? Ninaapa kwa Allaah ya kwamba hakuna baina yetu sisi na baina ya wale wanaosema hivo isipokuwa moto na panga. Ima sisi kufa au wao pia. Hili ni lazima libainishwe.

Maalik (Radhiya Allaahu ´anhu) anasema kuhusiana na Kauli ya Allaah (Jalla wa ´Alaa) kuhusu uongo [juu ya ´Aaishah]:

يَعِظُكُمُ اللَّـهُ أَن تَعُودُوا لِمِثْلِهِ أَبَدًا إِن كُنتُم مُّؤْمِنِينَ
“Allaah Anakuwaidhini msirudie kabisa (kufanya) mfano wa haya, mkiwa kweli ni Waumini.” (24:17)

“Anayerudi basi ni kafiri.”

Haya ni maneno ya Maalik (Radhiya Allaahu ´anhu) na maneno ya Salaf wote baada ya Maalik:

يَعِظُكُمُ اللَّـهُ أَن تَعُودُوا لِمِثْلِهِ أَبَدًا إِن كُنتُم مُّؤْمِنِينَ
“Allaah Anakuwaidhini msirudie kabisa (kufanya) mfano wa haya, mkiwa kweli ni Waumini.” (24:17)

Kulisemwa uongo huu na ule. Kukateremshwa Suurat-un-Nuur. Watu hawa bado mpaka hivi leo wanamtuhumu ´Aaishah (Radhiya Allaahu ´anha) kwa Zinaa. Ninaapa kwa Allaah lau sisi leo mtu angelimwambia hivo mama yake mzazi, angelimchinja. Tusemeje juu ya kuambiwa hivo ambaye ni mama yetu sote? Ninaapa kwa Allaah ya kwamba hakuna baina yetu sisi na baina ya wale wanaosema hivo isipokuwa moto na panga. Ima sisi kufa au wao pia. Hili ni lazima libainishwe.