Msikiti Wa Sunnah Unakuwa Namna Hii

Sunnah ni Msikiti uwe wa kawaida. Mkiweza kufanya Msikiti uwe kama wa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam), basi fanyeni hivyo. Lau hamtoweza msijikalifishe na kuremba Msikiti unaokwenda kinyume na Sunnah: 1- Mapambo. 2- Mnara. 3- Mihraab. 4- Minbari ndefu inayozidi daraja tatu. Yote haya hayakuthibiti katika Msikiti wa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).

Sunnah ni Msikiti uwe wa kawaida. Mkiweza kufanya Msikiti uwe kama wa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam), basi fanyeni hivyo. Lau hamtoweza msijikalifishe na kuremba Msikiti unaokwenda kinyume na Sunnah:

1- Mapambo.

2- Mnara.

3- Mihraab.

4- Minbari ndefu inayozidi daraja tatu.

Yote haya hayakuthibiti katika Msikiti wa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).