”Mna Msimamo Mkali” – Namna Hii Ndivyo Wanavyosema Maadui Wa Ahl-us-Sunnah

Tunasihiane kuwa na urafiki. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema: “Katu hakukuwi urafiki [ulaini] katika kitu isipokuwa unakipamba na katu haukosi kwenye kitu isipokuwa unakifanya kuwa kibaya.” Maadui wa Da´wah wanasema kuwa Ahl-us-Sunnah ni wakali. Uhakika wa mambo ni kwamba Ahl-us-Sunnah ndio wanaopambana na ukali huu. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema: “Dini hii ni nyepesi. Hakuna yeyote ambaye ni mkali katika Dini hii isipokuwa itamshinda.” Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema: “Nimetumwa na upwekeshaji mwepesi.” Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema: “Sahilisha na usifanye uzito. Toa bishara njema na wala usikimbize.” Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alisema kumwambia Abu Muusa al-Ash´ariy na Mu´aadh bin Jabal wakati alipomtuma kwenda Yemen: “Toa bishara njema na usikimbize. Sahilisha na usifanye uzito. Shirikianeni na msigawanyike.” Ni Ahl-us-Sunnah ndio wenye kuchezesha mikanda ambapo wanakemea Takfiyriyyuun. Ni Ahl-us-Sunnah ndio wenye kukemea walipuaji na wakati ilipopitika Saudi Arabia. Nina mkanda dhidi ya malipuaji ambapo nimebainisha kwamba ni haramu. Malipuaji haya yanawasababishia Waislamu tu kushtuliwa na kunyanyaswa. Ahl-us-Sunnah wana mpaka uvumilivu na watawala. Wanawavumilia. Ahl-us-Sunnah sio wakali.

Tunasihiane kuwa na urafiki. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Katu hakukuwi urafiki [ulaini] katika kitu isipokuwa unakipamba na katu haukosi kwenye kitu isipokuwa unakifanya kuwa kibaya.”

Maadui wa Da´wah wanasema kuwa Ahl-us-Sunnah ni wakali. Uhakika wa mambo ni kwamba Ahl-us-Sunnah ndio wanaopambana na ukali huu. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Dini hii ni nyepesi. Hakuna yeyote ambaye ni mkali katika Dini hii isipokuwa itamshinda.”

Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Nimetumwa na upwekeshaji mwepesi.”

Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Sahilisha na usifanye uzito. Toa bishara njema na wala usikimbize.”

Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alisema kumwambia Abu Muusa al-Ash´ariy na Mu´aadh bin Jabal wakati alipomtuma kwenda Yemen:

“Toa bishara njema na usikimbize. Sahilisha na usifanye uzito. Shirikianeni na msigawanyike.”

Ni Ahl-us-Sunnah ndio wenye kuchezesha mikanda ambapo wanakemea Takfiyriyyuun. Ni Ahl-us-Sunnah ndio wenye kukemea walipuaji na wakati ilipopitika Saudi Arabia. Nina mkanda dhidi ya malipuaji ambapo nimebainisha kwamba ni haramu. Malipuaji haya yanawasababishia Waislamu tu kushtuliwa na kunyanyaswa. Ahl-us-Sunnah wana mpaka uvumilivu na watawala. Wanawavumilia. Ahl-us-Sunnah sio wakali.