”Mna Msimamo Mkali” – Hivyo Ndivyo Wanavyosema Hizbiyyuun

Anatutuhumu – Abul-Hasan al-Ma´ribiy – kuwa tuna msimamo mkali na ni wakali wakati wa kukosoa. Ni Hizbiyyuun. Wanapotaka kukataza kheri hii wanasema kuwa ´watu hawa ni wakali, wanapetuka mipaka`. Maneno kama haya yalikuwa wakisemwa kuambiwa Shaykh wetu na Imaam Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy (Rahimahu Allaah). Wanachuoni wakubwa wamemzingatia kuwa ni katika wanachuoni wakubwa waliobobea na baadhi yao wamefikia mpaka kumchukulia kuwa mmoja katika maimamu wa Ahl-us-Sunnah wa leo. Wenye fadhila tu ndio hujua ni nini maana ya fadhila. Wanachuoni wanawajua ndugu zao katika wanachuoni. Wapotevu ambao hawakupata harufu ya elimu na ambao hawajali Dini hii kubaki hali ya kuwa ni safi kabisa ndio ambao huja na tuhuma kama hizi. Wao wenyewe wamekosolewa. Kwa ajili hii ndio maana wanakimbiza watu katika ukosoaji. Ili wapate kusalimika na jamii zao na kwa vijana wao. Wanajua kuwa wana upotevu katika Manhaj na njia moja yenye kufikisha kwa Allaah (Subhanaahu wa Ta´ala). Wanaogopa ukosoaji wa Ahl-us-Sunnah na Ahl-us-Sunnah watakuja kufichua na kubainisha hali zao mbaya. Kwa ajili hiyo ndio maana wanawatukana wanachuoni wetu na wale wanaofanya wajibu huu mkubwa. Ni sawa mkalinganisha maneno ya ndugu zenu kutoka katika Ahl-us-Sunnah kwa maneno ya wanachuoni. Je, watu hawa wanaowatuhumu Ahl-us-Sunnah kuwa wana msimamo mkali na upetukaji mipaka wanaitakidi vivyo hivyo kwa Shaykh Ibn Baaz, Shaykh Ibn ´Uthaymiyn, Shaykh al-Albaaniy, Shaykh Muqbil, Shaykh Rabiy´, al-Fawzaan na an-Najmiy? Kesho watakuja kusema hali kadhalika kwao. Waache watazame na walinganishe maneno ya Ahl-us-Sunnah wa Yemen juu ya huyo mpotevu na kuyalinganisha na maneno ya wanachuoni wengine. Hamtopata lolote. Watu hawa wanawakimbiza watu kwa wanachuoni na wanawapiga vita. Je, vipi wanafunzi wao watawafanya nini?

Anatutuhumu – Abul-Hasan al-Ma´ribiy – kuwa tuna msimamo mkali na ni wakali wakati wa kukosoa. Ni Hizbiyyuun. Wanapotaka kukataza kheri hii wanasema kuwa ´watu hawa ni wakali, wanapetuka mipaka`. Maneno kama haya yalikuwa wakisemwa kuambiwa Shaykh wetu na Imaam Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy (Rahimahu Allaah). Wanachuoni wakubwa wamemzingatia kuwa ni katika wanachuoni wakubwa waliobobea na baadhi yao wamefikia mpaka kumchukulia kuwa mmoja katika maimamu wa Ahl-us-Sunnah wa leo. Wenye fadhila tu ndio hujua ni nini maana ya fadhila. Wanachuoni wanawajua ndugu zao katika wanachuoni. Wapotevu ambao hawakupata harufu ya elimu na ambao hawajali Dini hii kubaki hali ya kuwa ni safi kabisa ndio ambao huja na tuhuma kama hizi. Wao wenyewe wamekosolewa. Kwa ajili hii ndio maana wanakimbiza watu katika ukosoaji. Ili wapate kusalimika na jamii zao na kwa vijana wao. Wanajua kuwa wana upotevu katika Manhaj na njia moja yenye kufikisha kwa Allaah (Subhanaahu wa Ta´ala). Wanaogopa ukosoaji wa Ahl-us-Sunnah na Ahl-us-Sunnah watakuja kufichua na kubainisha hali zao mbaya. Kwa ajili hiyo ndio maana wanawatukana wanachuoni wetu na wale wanaofanya wajibu huu mkubwa.

Ni sawa mkalinganisha maneno ya ndugu zenu kutoka katika Ahl-us-Sunnah kwa maneno ya wanachuoni. Je, watu hawa wanaowatuhumu Ahl-us-Sunnah kuwa wana msimamo mkali na upetukaji mipaka wanaitakidi vivyo hivyo kwa Shaykh Ibn Baaz, Shaykh Ibn ´Uthaymiyn, Shaykh al-Albaaniy, Shaykh Muqbil, Shaykh Rabiy´, al-Fawzaan na an-Najmiy? Kesho watakuja kusema hali kadhalika kwao. Waache watazame na walinganishe maneno ya Ahl-us-Sunnah wa Yemen juu ya huyo mpotevu na kuyalinganisha na maneno ya wanachuoni wengine. Hamtopata lolote. Watu hawa wanawakimbiza watu kwa wanachuoni na wanawapiga vita. Je, vipi wanafunzi wao watawafanya nini?