Mke Kumfunza Mume

Ikiwa mke ni mjuzi kuliko mume, ninamnasihi mke kumfunza. Asiwe ni mwenye kiburi juu ya hilo. Mtu mwenye haya na mwenye kiburi hafikii elimu yoyote: لَا تَعَاوَنُوا عَلَى الْإِثْمِ وَالْعُدْوَانِ ۚ وَاتَّقُوا اللَّـهَ ۖ إِنَّ اللَّـهَ شَدِيدُ الْعِقَابِ "Shirikianeni katika wema na taqwa, na wala msishirikiane katika dhambi na uadui. Na Mcheni Allaah; hakika Allaah ni Shadiydul-‘Iqaab (Mkali wa kuadhibu)." (05:02) Hishaam bin ´Urwah (Rahimahu Allaah) alisoma chini ya Faatwimah bint Mundhir (Radhiya Allaahu ´anha). Ikiwa mwanamke ni mjuzi kuliko mwanaume, hatakiwi kuwa na kiburi na kusema hataki kujifunza kutoka kwake. Ni lazima kwake (mume) kuchukua manufaa kutoka kwake na kumshukuru Allaah kwa kuwa kuna mtu ambaye anaweza kumsaidia nyumbani kwake.

Ikiwa mke ni mjuzi kuliko mume, ninamnasihi mke kumfunza. Asiwe ni mwenye kiburi juu ya hilo. Mtu mwenye haya na mwenye kiburi hafikii elimu yoyote:

لَا تَعَاوَنُوا عَلَى الْإِثْمِ وَالْعُدْوَانِ ۚ وَاتَّقُوا اللَّـهَ ۖ إِنَّ اللَّـهَ شَدِيدُ الْعِقَابِ
“Shirikianeni katika wema na taqwa, na wala msishirikiane katika dhambi na uadui. Na Mcheni Allaah; hakika Allaah ni Shadiydul-‘Iqaab (Mkali wa kuadhibu).” (05:02)

Hishaam bin ´Urwah (Rahimahu Allaah) alisoma chini ya Faatwimah bint Mundhir (Radhiya Allaahu ´anha). Ikiwa mwanamke ni mjuzi kuliko mwanaume, hatakiwi kuwa na kiburi na kusema hataki kujifunza kutoka kwake. Ni lazima kwake (mume) kuchukua manufaa kutoka kwake na kumshukuru Allaah kwa kuwa kuna mtu ambaye anaweza kumsaidia nyumbani kwake.