Mke Hatakiwi Kukataa Jimaa Kwa Kukosekana Maji

Mwanamke hatakiwi kukataa jimaa na mume wake [kwa sababu ya ukosefu wa maji]. Ni lazima ajimiiane naye. Aidha yuko na maji na ayatumie au afanye Tayammum na kuswali. Baada ya kutwahirika kutoka kwenye hedhi, mume hatakiwi kujamiiana naye kabla ya kuoga. Ikiwa haiwezekani kuoga, atafanya Tayammum na kufanya jimaa na mume wake. Hali kadhalika kama jinsi anavyotayamamu wakati wa Swalah, hali kadhalika anatakiwa kutayamamu wakati wa jimaa.

Mwanamke hatakiwi kukataa jimaa na mume wake [kwa sababu ya ukosefu wa maji]. Ni lazima ajimiiane naye. Aidha yuko na maji na ayatumie au afanye Tayammum na kuswali.

Baada ya kutwahirika kutoka kwenye hedhi, mume hatakiwi kujamiiana naye kabla ya kuoga. Ikiwa haiwezekani kuoga, atafanya Tayammum na kufanya jimaa na mume wake. Hali kadhalika kama jinsi anavyotayamamu wakati wa Swalah, hali kadhalika anatakiwa kutayamamu wakati wa jimaa.


  • Author: Shaykh-ul-Islaam Ahmad bin Taymiyyah. al-Fataawaa al-´Iraaqiyyah (1/312)
  • Kitengo: Uncategorized , ´Ibaadah
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Friday 3rd, January 2014