Mjadala Wa Raafidhwah Na Ibn Baaz

Wakati Shaykh wetu ´Abdul-´Aziyz bin Baaz (Rahimahu Allaah) alipokuwa ni [mudiri] kwenye chuo kikuu cha Kiislamu [al-Madiynah] wakaja (Raafidhwah) na kutaka kujadiliana naye. Akawaambia: “Kwanza tukubaliane kwamba Maswahabah ni waadilifu.” Kwa kuwa wakithibitisha uadilifu wa Maswahabah basi Dini, Qur-aan na Hadiyth vitakuwa vimethibitishwa. Baada ya hapo ndipo tutawalazimisha [kusema yale yaliyomo ndani yavyo]. Wakakataa na kwenda zao. Namna hii ndio ilivo hali ya watu hawa.

Wakati Shaykh wetu ´Abdul-´Aziyz bin Baaz (Rahimahu Allaah) alipokuwa ni [mudiri] kwenye chuo kikuu cha Kiislamu [al-Madiynah] wakaja (Raafidhwah) na kutaka kujadiliana naye. Akawaambia:

“Kwanza tukubaliane kwamba Maswahabah ni waadilifu.”

Kwa kuwa wakithibitisha uadilifu wa Maswahabah basi Dini, Qur-aan na Hadiyth vitakuwa vimethibitishwa. Baada ya hapo ndipo tutawalazimisha [kusema yale yaliyomo ndani yavyo]. Wakakataa na kwenda zao. Namna hii ndio ilivo hali ya watu hawa.