Mfano Wa Uongo Wa Ibn Batuutah kuhusu Ibn Taymiyah

Ikiwa kama kusikia kwa Allaah si kama kusikia kwetu, kuona Kwake si kama kuona kwetu, kutaka Kwake si kama kutaka kwetu hali kadhalika kuhusu elimu na uwezo Wake, pia kunasemwa vile vile kuridhia Kwake si kama kuridhia kwetu, khasira Yake si kama khasira yetu, furaha Yake si kama furaha yetu na kushuka Kwake si kama kushuka kwetu na kulingana kwetu sawa. Mwandishi: Shaykh-ul-Islaam Ahmad bin Taymiyyah Chanzo: Sharh Hadiyth-un-Nuzuul, uk. 24

Ikiwa kama kusikia kwa Allaah si kama kusikia kwetu, kuona Kwake si kama kuona kwetu, kutaka Kwake si kama kutaka kwetu hali kadhalika kuhusu elimu na uwezo Wake, pia kunasemwa vile vile kuridhia Kwake si kama kuridhia kwetu, khasira Yake si kama khasira yetu, furaha Yake si kama furaha yetu na kushuka Kwake si kama kushuka kwetu na kulingana kwetu sawa.

Mwandishi: Shaykh-ul-Islaam Ahmad bin Taymiyyah
Chanzo: Sharh Hadiyth-un-Nuzuul, uk. 24


  • Kitengo: Uncategorized , Kushuka (kuteremka) kwa Allaah
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Sunday 27th, October 2013