Mayahudi Ibn Saba´ Na Paulo

Mtu wa kwanza ambaye alizusha fikira ya Raafidhwah ilikuwa ni 'Abdullaah bin Saba'. Alikuwa ni zindiki na mnafiki. Lengo lake lilikuwa ni kuharibu Dini ya Waislamu, kama ambavyo lilikuwa lengo la Paulo wakati alipozusha uzushi katika dini ya manaswara (lengo) ambalo aliuharibu ukristo kwalo. Paulo alikuwa ni myahudi ambaye alidai kuwa ni mkristo kutokana na unafiki ili aweze kuuharibu ukristo. Vile vile, myahudi Ibn Saba'. Alikuwa na nia moja na alijitahidi kusababisha fitina, lakini hakufanikiwa. Hata hivyo, alisababisha fitina na machafuko kati ya waumini. 'Uthmaan (Radhiya Allaahu ´anhu) aliuawa wakati wa fitina hii. Sifa zote kamilifu ni Zake Allaah kwa sababu Ummah huu haukusanyiki katika upotevu. Kutakuwepo daima kundi kutokana nao (huo Ummah) ambalo ni lenye kushinda imara juu ya haki mpaka itapofika Qiyaamah. Mwandishi: Shaykh-ul-Islaam Ahmad bin Taymiyyah Chanzo: Mukhtasar-ul-Fataawaa al-Miswriyyah (1/300) Ufupisho: Imaam Badr-ud-Diyn Muhammad bin ´Aliy al-Hanbaliy al-Ba´liy (d. 777)

Mtu wa kwanza ambaye alizusha fikira ya Raafidhwah ilikuwa ni ‘Abdullaah bin Saba’. Alikuwa ni zindiki na mnafiki. Lengo lake lilikuwa ni kuharibu Dini ya Waislamu, kama ambavyo lilikuwa lengo la Paulo wakati alipozusha uzushi katika dini ya manaswara (lengo) ambalo aliuharibu ukristo kwalo. Paulo alikuwa ni myahudi ambaye alidai kuwa ni mkristo kutokana na unafiki ili aweze kuuharibu ukristo.

Vile vile, myahudi Ibn Saba’. Alikuwa na nia moja na alijitahidi kusababisha fitina, lakini hakufanikiwa. Hata hivyo, alisababisha fitina na machafuko kati ya waumini. ‘Uthmaan (Radhiya Allaahu ´anhu) aliuawa wakati wa fitina hii. Sifa zote kamilifu ni Zake Allaah kwa sababu Ummah huu haukusanyiki katika upotevu. Kutakuwepo daima kundi kutokana nao (huo Ummah) ambalo ni lenye kushinda imara juu ya haki mpaka itapofika Qiyaamah.

Mwandishi: Shaykh-ul-Islaam Ahmad bin Taymiyyah
Chanzo: Mukhtasar-ul-Fataawaa al-Miswriyyah (1/300)
Ufupisho: Imaam Badr-ud-Diyn Muhammad bin ´Aliy al-Hanbaliy al-Ba´liy (d. 777)


  • Kitengo: Uncategorized , Manhaj
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Saturday 29th, March 2014