Matukio Ya Matendo Ya Kijinga Yalofanyika Algeria

Algeria imefikia nini na ujinga wa ´Aliy bin Haajj na ´Abbaas Madaniy? Sikiliza. Damu inamwagwa. Maiti zinabaki barabarani. Haijulikani ni nani mwenye kuwaua. Je, ni serikali, kundi lililo pekee la kijeshi au ni Jamaa´at-ul-Jihaad ambalo ni kundi la ´Abbaas Madaniy na ´Aliy bin Haaj? Wanawake wanawekwa katika machafu gerezani. Da´wah imesimama. Vijana wananyoa ndevu zao. Mmefanya nini na Algeria, ewe ´Aliy bin Haajj na ´Abbaas Madaniy? Ni jarima kubwa kabisa. Walikuwa wanaweza kufanya Da´wah. Algeria ilikuwa ni moja katika miji ya Kiislamu bora inapokuja katika Da´wah. Wanachuoni walikuwa wakialikwa. Walikuwa wanaweza kutuma barua na kuandika humo kwamba wanataka kuja na kutafuta elimu. Baada ya hapo wakawa masikini wenye kushughulishwa na nafsi zao na familia zao, wakawa baada ya hapo hawawezi tena kuja huku. Kadhalika wakawa ni waoga kwa mamlaka.

Algeria imefikia nini na ujinga wa ´Aliy bin Haajj na ´Abbaas Madaniy? Sikiliza. Damu inamwagwa. Maiti zinabaki barabarani. Haijulikani ni nani mwenye kuwaua. Je, ni serikali, kundi lililo pekee la kijeshi au ni Jamaa´at-ul-Jihaad ambalo ni kundi la ´Abbaas Madaniy na ´Aliy bin Haaj? Wanawake wanawekwa katika machafu gerezani. Da´wah imesimama. Vijana wananyoa ndevu zao. Mmefanya nini na Algeria, ewe ´Aliy bin Haajj na ´Abbaas Madaniy? Ni jarima kubwa kabisa.

Walikuwa wanaweza kufanya Da´wah. Algeria ilikuwa ni moja katika miji ya Kiislamu bora inapokuja katika Da´wah. Wanachuoni walikuwa wakialikwa. Walikuwa wanaweza kutuma barua na kuandika humo kwamba wanataka kuja na kutafuta elimu. Baada ya hapo wakawa masikini wenye kushughulishwa na nafsi zao na familia zao, wakawa baada ya hapo hawawezi tena kuja huku. Kadhalika wakawa ni waoga kwa mamlaka.