Maswali Kuhusu Kuswali Sehemu Ambayo Kuna Makaburi

Swali: Vipi atarudi kuswali upya ikiwa ataswali makaburini? Imaam Ibn Baaz: Ataswali upya, kwa kuwa si mahala pa Swalah. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kakataza hili. Muulizaji: Ikiwa kuna Msikiti ila ndani ya Msikiti hakuna kaburi? Imaam Ibn Baaz: Msikiti ukiwa na kaburi, kaburi livunjwe, ikiwa kaburi ndo ililetwa baada ya Msikiti. Na ikiwa Msikiti ndo uliletwa baada ya kaburi (makaburi) kukutwa, inatakuwa kuuvunja. Muulizaji: Hakutoswaliwa ndani yake? Imaam Ibn Baaz: Hakutoswaliwa bali ni kuuvunja na kuuweka mbali kabisa na makaburi. Imaam Ibn Baaz: Sikiliza maneno yangu vizuri, ikiwa Msikiti ndo uliletwa nyuma utavunjwa. Na ikiwa kaburi ndo lililetwa nyuma, litavunjwa na kuwekwa mbali na Msikiti ili Msikiti ubaki salama. Muulizaji: Ikiwa kuna Msikiti (makaburini) lakini hakuna anaeswali ndani yake, na ukabaki Msikiti kama ulivyo. Imaam Ibn Baaz: Hata kama! Ikiwa Msikiti ndo uliletwa nyuma utavunjwa. Na ikiwa kaburi ndo ililetwa nyuma itavunjwa na kuwekwa mbali kabisa. Muulizaji: Ina maana haisihi Swalah ndani ya Msikiti ambao kuna kaburi ndani yake? Imaam Ibn Baaz: Haisihi.

Swali:
Vipi atarudi kuswali upya ikiwa ataswali makaburini?

Imaam Ibn Baaz:
Ataswali upya, kwa kuwa si mahala pa Swalah. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kakataza hili.

Muulizaji:
Ikiwa kuna Msikiti ila ndani ya Msikiti hakuna kaburi?

Imaam Ibn Baaz:
Msikiti ukiwa na kaburi, kaburi livunjwe, ikiwa kaburi ndo ililetwa baada ya Msikiti. Na ikiwa Msikiti ndo uliletwa baada ya kaburi (makaburi) kukutwa, inatakuwa kuuvunja.

Muulizaji:
Hakutoswaliwa ndani yake?

Imaam Ibn Baaz:
Hakutoswaliwa bali ni kuuvunja na kuuweka mbali kabisa na makaburi.

Imaam Ibn Baaz:
Sikiliza maneno yangu vizuri, ikiwa Msikiti ndo uliletwa nyuma utavunjwa. Na ikiwa kaburi ndo lililetwa nyuma, litavunjwa na kuwekwa mbali na Msikiti ili Msikiti ubaki salama.

Muulizaji:
Ikiwa kuna Msikiti (makaburini) lakini hakuna anaeswali ndani yake, na ukabaki Msikiti kama ulivyo.

Imaam Ibn Baaz:
Hata kama! Ikiwa Msikiti ndo uliletwa nyuma utavunjwa. Na ikiwa kaburi ndo ililetwa nyuma itavunjwa na kuwekwa mbali kabisa.

Muulizaji:
Ina maana haisihi Swalah ndani ya Msikiti ambao kuna kaburi ndani yake?

Imaam Ibn Baaz:
Haisihi.


  • Author: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • http://youtu.be/az08FGJ73ok
  • Kitengo: Uncategorized , Imani, Kufuru na Shirki
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Sunday 20th, October 2013