Masharti Ya Ruqyah

Ili Ruqyah iweze kuwa ni yenye kuruhusiwa kunahitajia masharti yafuatayo yatimizwe: 1- Mtu asiamini kwamba (Ruqyah) yenyewe ndio inayonufaisha bila ya Allaah. Ni haramu na ni Shrki kuamini kwamba yenyewe ndio yenye kunufaisha bila ya Allaah. Anatakiwa aamini kwamba Ruqyah ni njia ambayo inanufaisha tu kwa idhini ya Allaah. 2- Isiende kinyume na Dini. Mfano wa hilo ni mtu kuomba mtu mwengine asiyekuwa Allaah au kuomba majini kinga na mfano wa hayo. Hili ni haramu na Shirki. 3- Iwe ni yenye kufahamika na kujulikana. Hirizi na uchawi ni haramu.

Ili Ruqyah iweze kuwa ni yenye kuruhusiwa kunahitajia masharti yafuatayo yatimizwe:

1- Mtu asiamini kwamba (Ruqyah) yenyewe ndio inayonufaisha bila ya Allaah. Ni haramu na ni Shrki kuamini kwamba yenyewe ndio yenye kunufaisha bila ya Allaah. Anatakiwa aamini kwamba Ruqyah ni njia ambayo inanufaisha tu kwa idhini ya Allaah.

2- Isiende kinyume na Dini. Mfano wa hilo ni mtu kuomba mtu mwengine asiyekuwa Allaah au kuomba majini kinga na mfano wa hayo. Hili ni haramu na Shirki.

3- Iwe ni yenye kufahamika na kujulikana. Hirizi na uchawi ni haramu.


  • Author: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn. al-Qawl al-Mufiyd (1/187)
  • Kitengo: Uncategorized , Fiqh
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Monday 31st, March 2014