Masharti Ya ´Abaayah Ya Mwanamke Wa Kiislamu

´Abaayah ya mwanamke ni lazima itimize masharti yafuatayo: 1 - Haitakiwi kuwa wazi au yenye kubana. 2 - Inatakiwa kufunika mwili mzima na isioneshe maumbile. 3 - Inatakiwa kuwa na ufunguzi mbele tu (sehemu ya macho kukiwa na haja juu ya hilo) na ufunguzi kwenye mikono unatakiwa uwe ni wenye kubana. 4 - Haitakiwi kuwa ni yenye mapambo (marembo) kwa njia ambayo macho yakaiangukia. Kutokana na hili, haitakiwi kuwa ni yenye kubuniwa, mapambo, maandiko au alama. 5 - Haitakiwi kufanana na mavazi ya makafiri au wanaume. 6 - Inatakiwa kwanza kuwekwa juu ya kichwa.

´Abaayah ya mwanamke ni lazima itimize masharti yafuatayo:

1 – Haitakiwi kuwa wazi au yenye kubana.

2 – Inatakiwa kufunika mwili mzima na isioneshe maumbile.

3 – Inatakiwa kuwa na ufunguzi mbele tu (sehemu ya macho kukiwa na haja juu ya hilo) na ufunguzi kwenye mikono unatakiwa uwe ni wenye kubana.

4 – Haitakiwi kuwa ni yenye mapambo (marembo) kwa njia ambayo macho yakaiangukia. Kutokana na hili, haitakiwi kuwa ni yenye kubuniwa, mapambo, maandiko au alama.

5 – Haitakiwi kufanana na mavazi ya makafiri au wanaume.

6 – Inatakiwa kwanza kuwekwa juu ya kichwa.


  • Author: al-Lajnah ad-Daamah. Fatwaa # 21352
  • Kitengo: Uncategorized , Fiqh
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Monday 6th, January 2014