Masanduku Ya Swadaqah Msikitini

´Allaamah Rabiy´: Nani kaiweka Msikitini? Yapi makusudio yao kuweka sanduku hii [ndani ya Msikiti]? Muulizaji: Ni kamati. ´Allaamah Rabiy´: Ni kamati? Muulizaji: Ni kamati ya Msikiti. ´Allaamah Rabiy´: Je, huwa wakiweka sanduku Msikitini daima [kila siku] au ni siku ya Ijumaa tu au lini? Muulizaji: Ni kila siku wanaweka Msikitini. ´Allaamah Rabiy´: Kila siku!? ´Allaamah Rabiy´: Naona hii ni njia ya Hizbiyyuun, si katika njia ya Ahl-us-Sunnah. Asli ya kuomba omba ni Haramu! Na haijuzu isipokuwa katika hali ya dharurah - Baraka Allaahu fiykum. Asli ya kuomba omba ni Haramu! Na mwenye kukithiri kuomba omba atakuja siku ya Qiyaamah akiwa hana kipande cha uso. Mmefahamu? Na hii ni njia ya Hizbiyuun - Baraka Allaahu fiykum. Yule mwenye kutaka [... sauti haisikiki vizuri... ] na kuswali mwache aweze kufanya hivyo, ama kumuomba omba hapana!

´Allaamah Rabiy´: Nani kaiweka Msikitini? Yapi makusudio yao kuweka sanduku hii [ndani ya Msikiti]?

Muulizaji: Ni kamati.

´Allaamah Rabiy´: Ni kamati?

Muulizaji: Ni kamati ya Msikiti.

´Allaamah Rabiy´: Je, huwa wakiweka sanduku Msikitini daima [kila siku] au ni siku ya Ijumaa tu au lini?

Muulizaji: Ni kila siku wanaweka Msikitini.

´Allaamah Rabiy´: Kila siku!?

´Allaamah Rabiy´: Naona hii ni njia ya Hizbiyyuun, si katika njia ya Ahl-us-Sunnah. Asli ya kuomba omba ni Haramu! Na haijuzu isipokuwa katika hali ya dharurah – Baraka Allaahu fiykum. Asli ya kuomba omba ni Haramu! Na mwenye kukithiri kuomba omba atakuja siku ya Qiyaamah akiwa hana kipande cha uso. Mmefahamu? Na hii ni njia ya Hizbiyuun – Baraka Allaahu fiykum. Yule mwenye kutaka [… sauti haisikiki vizuri… ] na kuswali mwache aweze kufanya hivyo, ama kumuomba omba hapana!