Mapote Yanayosema Kuwa Qur-aan Ni Kiumbe

Swali: Ni kipote kipi cha tatu ambacho kinasema ya kwamba Qur-aan imeumbwa mbali na Jahmiyyah na Mu´tazilah? ´Allaamah al-Fawzaan: Nimewaambia ya kwamba ni Ashaa´irah, ndio wanasema kuwa maana haikuumbwa, ama lafdhi imeumbwa. Wanasema hii ambayo imeandikwa katika sahifu imeumbwa, kwa kuwa ni lafdhi na herufi. Muulizaji: Vipi kuhusu Ibaadhi? ´Allaamah al-Fawzaan: Hapana. Ibaadhi ni pamoja na Jahmiyyah. Nao wanasema kwamba imeumbwa.

Swali:
Ni kipote kipi cha tatu ambacho kinasema ya kwamba Qur-aan imeumbwa mbali na Jahmiyyah na Mu´tazilah?

´Allaamah al-Fawzaan:
Nimewaambia ya kwamba ni Ashaa´irah, ndio wanasema kuwa maana haikuumbwa, ama lafdhi imeumbwa. Wanasema hii ambayo imeandikwa katika sahifu imeumbwa, kwa kuwa ni lafdhi na herufi.

Muulizaji:
Vipi kuhusu Ibaadhi?

´Allaamah al-Fawzaan:
Hapana. Ibaadhi ni pamoja na Jahmiyyah. Nao wanasema kwamba imeumbwa.