Mapote Mawili Yanayopinga Shafaa´ah

Kuko wanaopinga Shafaa´ah (uombezi) moja kwa moja, kama Mu´tazilah na Khawaarij. Ahl-us-Sunnah wako kati kwa kati katika mlango huu na wakasema kuwa kuna sampuli mbili za uombezi: 1- Uombezi sahihi (unaokubaliwa). 2- Uombezi unaokataliwa. Sisi hatupingi uombezi moja kwa moja kama jinsi hatuuthibitishi moja kwa moja. Bali ni lazima kufafanua ili kujumuisha baina ya Aayah katika mlango huu. Huku ndio kuwa na Fiqh katika Dini ya Allaah (´Azza wa Jalla) na hii ndio njia ya waliobobea katika elimu. Mwandishi: Imaam Abu Bakr ´Abdullaah bin Daawuud as-Sijistaaniy Chanzo: al-Haaiyyah Mshereheshaji: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan Chanzo: "Sharh al-Haaiyyah", uk. 176

Kuko wanaopinga Shafaa´ah (uombezi) moja kwa moja, kama Mu´tazilah na Khawaarij. Ahl-us-Sunnah wako kati kwa kati katika mlango huu na wakasema kuwa kuna sampuli mbili za uombezi:

1- Uombezi sahihi (unaokubaliwa).
2- Uombezi unaokataliwa.

Sisi hatupingi uombezi moja kwa moja kama jinsi hatuuthibitishi moja kwa moja. Bali ni lazima kufafanua ili kujumuisha baina ya Aayah katika mlango huu. Huku ndio kuwa na Fiqh katika Dini ya Allaah (´Azza wa Jalla) na hii ndio njia ya waliobobea katika elimu.

Mwandishi: Imaam Abu Bakr ´Abdullaah bin Daawuud as-Sijistaaniy
Chanzo: al-Haaiyyah
Mshereheshaji: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Chanzo: “Sharh al-Haaiyyah”, uk. 176


  • Kitengo: Uncategorized , Aakhirah
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Saturday 22nd, February 2014