Mambo Ya Ada Kuyafanya ´Ibaadah

Mtu ambaye amejaaliwa na Allaah mambo ya ada yake anaweza akayabadili badala yake yakawa ni ´ibaadah. Mghafilikaji mambo yake ya ´ibaadah yanakuwa ni kama ya ada. Anaswali kiada na anatawadha kiada. Pengine anaishi katika mji mwingine usiokuwa wa Kiislamu na yeye anawaiga kwa yale waliyomo kwa sababu ya ada. Lakini mtu ambaye amejaaliwa na Allaah mambo ya ada anayafanya kuwa ni ´ibaadah. Mzungumzaji: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn Chanzo: Mkanda "Fadhwl-us-Swiyaam wa Qiyaam", sehemu ya 02 Toleo la: 10-07-2014 Imefasiriwa na: Wanachuoni.com

Mtu ambaye amejaaliwa na Allaah mambo ya ada yake anaweza akayabadili badala yake yakawa ni ´ibaadah. Mghafilikaji mambo yake ya ´ibaadah yanakuwa ni kama ya ada. Anaswali kiada na anatawadha kiada. Pengine anaishi katika mji mwingine usiokuwa wa Kiislamu na yeye anawaiga kwa yale waliyomo kwa sababu ya ada. Lakini mtu ambaye amejaaliwa na Allaah mambo ya ada anayafanya kuwa ni ´ibaadah.

Mzungumzaji: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Chanzo: Mkanda “Fadhwl-us-Swiyaam wa Qiyaam”, sehemu ya 02
Toleo la: 10-07-2014
Imefasiriwa na: Wanachuoni.com


  • Kitengo: Uncategorized , Fiqh
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Thursday 10th, July 2014