Mama Anaswali Na Mabanati Wake Jamaa´ah Kila Swalah

Swali: Kuna mwanamke kafanya kama ada ya kuswali nyumbani kwake na mabanati wake Jamaa´ah katika kila faradhi. Imaam Ibn Baaz: Hakuna ubaya. Muulizaji: Katika kila faradhi? Imaam Ibn Baaz: Hakuna makatazo.

Swali:
Kuna mwanamke kafanya kama ada ya kuswali nyumbani kwake na mabanati wake Jamaa´ah katika kila faradhi.

Imaam Ibn Baaz:
Hakuna ubaya.

Muulizaji:
Katika kila faradhi?

Imaam Ibn Baaz:
Hakuna makatazo.