Malengo Ya Jimaa

Katika malengo ya jimaa ni pamoja na kumwaga ambako kunadhuru ikiwa manii yatabaki mwilini. Mengine ni kufikia furaha na matamanio. Nyingine ni kuleta watoto ili idadi ya watu ambayo Allaah Anaijua na Amekwishaamua iweze kupatikana, iwepo. Galenos[1] na wengine wameonelea kuwa jimaa ni katika sababu za kupata afya nzuri. Mchanganyiko wa manii una joto na unyevu kwa vile yanayoka katika damu inayotoa asli ya viungo vya mwili katika virutubisho. Ndio maana ni sawa kupata kumwaga wakati wa shahawa kubwa. Kwa wengi kumwaga kunazima ule moto wa kimaumbile na badala yake unawasha moto wa ajabu. Kwa njia hiyo hiyo yanapunguza nguvu na kudhoofisha kifuko cha chakula (nyongo), ini, kiwango cha chakula na inaharibu damu. Vilevile yanakausha asli ya viungo vya mwili na kuongeza kasi ya udhaifu wake. ------------ http://sv.wikipedia.org/wiki/Galenos

Katika malengo ya jimaa ni pamoja na kumwaga ambako kunadhuru ikiwa manii yatabaki mwilini. Mengine ni kufikia furaha na matamanio. Nyingine ni kuleta watoto ili idadi ya watu ambayo Allaah Anaijua na Amekwishaamua iweze kupatikana, iwepo. Galenos[1] na wengine wameonelea kuwa jimaa ni katika sababu za kupata afya nzuri.

Mchanganyiko wa manii una joto na unyevu kwa vile yanayoka katika damu inayotoa asli ya viungo vya mwili katika virutubisho. Ndio maana ni sawa kupata kumwaga wakati wa shahawa kubwa. Kwa wengi kumwaga kunazima ule moto wa kimaumbile na badala yake unawasha moto wa ajabu. Kwa njia hiyo hiyo yanapunguza nguvu na kudhoofisha kifuko cha chakula (nyongo), ini, kiwango cha chakula na inaharibu damu. Vilevile yanakausha asli ya viungo vya mwili na kuongeza kasi ya udhaifu wake.

————
http://sv.wikipedia.org/wiki/Galenos


  • Author: Imaam Muhammad bin Muflih al-Maqdisiy (d. 763). al-Aadaab ash-Shar´iyyah (3/26-27)
  • Kitengo: Uncategorized , Dawa
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Monday 20th, January 2014