Makundi Yote Yaliyopo Leo Yanaingia Katika Makundi 72

Swali: Je makundi haya yanaingia kwenye Hadiyth ya kugawanyika? Jibu: Ndio, ndio. Swali: Je, ni makundi yote, al-Ikhwaan al-Muslimuun, (Jamaa´at) at-Tabliygh na kadhalika? Jibu: Makundi yote yanaingia isipokuwa kundi la Salafiyyah ambao wako juu ya Manhaj ya Salaf. Kutokana na kauli ya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam): "Ni wale ambao wako juu ya yale niliyomo mimi hivi leo na Maswahabah zangu." Makundi yote yana upotevu. Na upotevu wao mkubwa ni Shirki kubwa na Bid´ah. Miongoni mwa Bid´ah hizo, kuko ambazo zinakufurisha na kuko ambazo zinafasiki.

Swali: Je makundi haya yanaingia kwenye Hadiyth ya kugawanyika?

Jibu: Ndio, ndio.

Swali: Je, ni makundi yote, al-Ikhwaan al-Muslimuun, (Jamaa´at) at-Tabliygh na kadhalika?

Jibu: Makundi yote yanaingia isipokuwa kundi la Salafiyyah ambao wako juu ya Manhaj ya Salaf. Kutokana na kauli ya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam):

“Ni wale ambao wako juu ya yale niliyomo mimi hivi leo na Maswahabah zangu.”

Makundi yote yana upotevu. Na upotevu wao mkubwa ni Shirki kubwa na Bid´ah. Miongoni mwa Bid´ah hizo, kuko ambazo zinakufurisha na kuko ambazo zinafasiki.